KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA MALAWI 26-27 JULAI, 2018

Imewekwa: Jun 05, 2018


Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Malawi zinaandaa Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Malawi litakalofanyika katika ukumbi wa Tughimbe uliopo Mwanjelwa jijini Mbeya kuanzia tarehe 26 hadi 27 Julai, 2018. Bofya hapa kupakua