Dira, Dhamira & Misingi Mikuu

Dira

Kuwa kitovu cha ufanisi wa hadhi ya kimataifa katika kuendeleza na kukuza uchumi wa nchi kupitia biashara

Dhamira

Kuwezesha ukuaji wa uchumi wa Tanzania kupitia kuendeleza na kukuza bidhaa na huduma mbalimbali kwa masoko ya ndani na nje ya nchi.

Misingi Mikuu