Habari

Mkutano maalum wa kujadili fursa za kibiashara baina ya Tanzania na Ukraine

Mkutano maalum wa kujadili fursa za kibiashara baina ya Tanzania na Ukraine
Imewekwa Feb, 21 2019

. Mkutano maalum wa kujadili fursa za kibiashara baina ya Tanzania na Ukraine ulioandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania(tantrade) kwa kushirikiana na taasisi inayosimamia Biashara ya Kimataifa ya Ukraine(trade with ukraine) uliofanyika tarehe 19.02.2019 katika Uwanja wa Maonesho wa Mwl.J.K.Nyerere dar es salaam.