Habari

Kaimu Mkurugenzi Uendelezaji Biashara Bw Emmanuel Miselya akiongoza kikao cha kuhamasisha uendelezaji wa zao la mbaazi kwa matumizi ya soko la ndani tarehe 16 Aprili, 2019 kilichoandaliwa na TanTrade kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali wanaosaidia katika

Imewekwa Apr, 16 2019

Kaimu Mkurugenzi Uendelezaji Biashara Bw Emmanuel Miselya akiongoza kikao cha kuhamasisha uendelezaji wa zao la mbaazi kwa matumizi ya soko la ndani tarehe 16 Aprili, 2019 kilichoandaliwa na TanTrade kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali wanaosaidia katika mnyororo wa thamani wa zao hilo.