WATUMISHI WA TANTRADE KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAJASIRIAMALI WA BANDA LA "MADE IN TANZANIA". KATIKA MKUTANO WA SIASA ULINZI NA USALAMA WA SADC 2025.
- July 28, 2025
24 JULAI, 2025.
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inaendelea na uratibu katika banda la "Made in Tanzania" ambalo lipo kwenye Mkutano wa Siasa ulizi na Usala wa nchi za SADC 2025. Banda hilo linahamasisha matumizi ya chapa ya Made in Tanzania kwenye bidhaa mbalimbali zinazozalishwa nchini Tanzania, ambapo kupitia banda hilo wajasiriamali mbalimbali wamepata fursa za kuonesha na kuuza bidhaa zao kwa wageni hao waliofika kwenye kikao hicho.
Katika picha ya pamoja ni wafanyabiashara wadogo na wa kati wakiwa na watumishi wa TanTrade katika Ukumbi wa mikutano wa JINCC Jijini Dar es Salaam.